Skip to main content
Skip to main content

Je kwanini linatajwa kama gereza la kutisha duniani?

  • | BBC Swahili
    37,740 views
    Duration: 5:14
    Gereza la CECOT nchini El Salvador linatajwa kuwa moja ya magereza ya kutisha zaidi duniani. Lilizinduliwa na Rais Nayib Bukele Januari 2023, likiwa na uwezo wa kuhifadhi wafungwa 40,000 wengi wao wakiwa wanachama wa magenge hatari kama MS-13 na Barrio 18. Kwa wengi, CECOT ni ishara ya mafanikio ya kupambana na uhalifu; kwa wengine, ni mfano wa mateso ya kisasa. Je kwanini linatajwa kama gereza la kutisha? Ahmad Haji anaelezea #bbcswahili #elsalvador #magenge Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw