- 2,928 viewsDuration: 9:12Kiongozi wa Ukraine Volodmyr Zelensky muda mfupi uliopita amekutana na Rais Donald Trump katika Ikulu ya Whitehouse kuzungumzia amani nchini Ukraine. Trump amemkaribisha Zelensky katika mkutano huo, kwa kumhakikishia kwamba ataipatia Ukraine usalama. #DiraYaDuniaTV