- 2,713 viewsDuration: 1:46Magonjwa ya moyo ndiyo yanayoongoza kwa kusababisha vifo duniani kote. Je, kuna njia zaidi tunazoweza kutumia ili kuzuia mashambulizi ya moyo kutokea? Bosha Nynje anaelezea kwa kina #bbcswahili #afya #magonjwayamoyo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw