- 14,762 viewsDuration: 3:34Je, unajua kuwa Afrika ni kubwa zaidi kuliko inavyoonekana kwenye ramani nyingi? Ukweli ni kwamba bara hili linaweza kabisa kubeba Marekani, China, India, Japani na sehemu kubwa ya Ulaya ndani yake. Je Afrika ina ukubwa kiasi gani? Sammy Awami anaelezea #bbcswahili #afrika #ramani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw