Skip to main content
Skip to main content

Je, Unamjua mwanamke wa kwanza kufika karibu na mwezini ni nani?

  • | BBC Swahili
    37,060 views
    Duration: 1:54
    Ni Christina Koch Jumatano, Aprili 1, 2026, aliweka historia hiyo ya mwanamke wa kwanza kusafiri hadi karibu na mwezi akiwa kwenye kikosi cha Artemis II. Alisafiri na wanasayansi wengine watatu ambao pia kwa pamoja wameandika historia ya kusafiri mbali zaidi na dunia kuliko binadamu yeyote katika historia Mwandishi wa BBC @sarafinarobi na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #wanaanga #Artemis #wanasayansi #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw