- 6,717 viewsDuration: 2:08Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza vita vya Gaza vimefikia mwisho baada ya kutia saini makubaliano ya usitishaji mapigano huko Sharma el Sheikh nchini Misri. Lakini je vita kati ya Israel na Hamas vimeisha? @mariammjahid anaangazia taarifa hii - - #bbcswahili #gaza #israel #marekani #vita