Skip to main content
Skip to main content

Jeshi la Tanzania lazungumza

  • | BBC Swahili
    18,016 views
    Duration: 45s
    Jeshi la Tanzania limekanusha kuhusika na siasa za nchi hiyo na harakati za mitandaoni. Kaimu mkuregenzi wa habari na uhusiano wa JWTZ , Kanali Bernard Mlunga, amesema kuwa kumekua na baadhi ya watu wanaotumia mtandao kuweka maudhui yanayochochea kuingiza jeshi katika siasa. Hata hivyo, mapema hii leo, taarifa ya video ilisambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonesha mtu mwenye mavazi ya kijeshi ya Tanzania, na kujitambulisha kama afisa wa cheo cha Kapteni akitoa wito wa mabadiliko ya kisiasa na uongozi na kulindwa kwa haki za binadamu nchini humo. #bbcswahili #tanzania #usalama