Skip to main content
Skip to main content

Jimi Wanjigi apinga ujenzi wa kituo cha karantini ya Ebola nchini

  • | Citizen TV
    7,173 views
    Duration: 1:20
    Kiongozi wa Chama cha Safina Party, Jimi Wanjigi, ameungana na Wakenya wengine kupinga mpango wa kujengwa kwa kituo cha karantini ya wagonjwa wa virusi vya Ebola nchini, akitaja hatua hiyo kuwa tishio kwa afya ya taifa.