Skip to main content
Skip to main content

Jimmy Wanjigi adadisi uadilifiu wa bajeti ya taifa

  • | KBC Video
    136 views
    Duration: 2:42
    BAJETI YA TAIFA Kiongozi wa chama cha Safina, Jimmy Wanjigi, ameibua wasiwasi kutokana na kile alichokitaja kuwa tofauti kwenye bajeti ya hazina ya taifa, akitilia shaka usahihi na uadilifu wa hesabu zilizochapishwa kwenye gezeti rasmi la serikali. Wizara ya fedha ilisema tofauti hizo ni makosa ya uchapishaji, ila Wanjigi sasa anadai kuwa tofauti hizo ni ishara ya matatizo makubwa kwenye usimamizi na utayarishaji wa ripoti za fedha za umma. Sasa anataka kuwekwa wazi kwa hazina zote za umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive