Skip to main content
Skip to main content

John Mbadi amwambia Winnie Odinga awanie kiti kwanza kabla ya kumkosoa

  • | NTV Video
    11,150 views
    Duration: 3:35
    Waziri wa fedha John Mbadi amemwambia mbunge wa EALA Winnie Odinga awanie kiti kwanza kabla ya kumkosoa. Mbadi aidha ameshikilia kuwa ni sharti chama cha ODM kisonge mbele, pasi kushindia kumrejelea hayati Raila Odinga kila wakati . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya