- 231 viewsWaziri wa Madini Hassan Ali Joho amesema kampuni ya Tata Chemicals Magadi lazima ilipe deni la shilingi bilioni 18 kwa Kaunti ya Kajiado kabla ya kuanza kwa mazungumzo ya kurejeshwa kwa leseni yake. Joho ametetea hatua ya Rais William Ruto ya kusimamisha shughuli za kampuni hiyo, akisema imewanyanyasa wakazi wa Magadi kwa zaidi ya miaka mia moja. Emmanuel Too na mengi zaidi.