Skip to main content
Skip to main content

Jopo la wataalamu kubuni ruwaza mpya ya maendeleo baada ya 2030

  • | Citizen TV
    554 views
    Duration: 2:47
    Jopo maalum la kiufundi pamoja na watafiti wa maswala ya uchumi ambalo litajumuisha wadau kutoka sekta mbali mbali, litabuniwa rasmi karibuni, ili kuendeleza mazungumzo kuhusu ruwaza mpya ya maendeleo. Kundi hilo linatarajiwa kuwasilisha pendekezo lake kuhusu ruwaza ya maendeleo baada ya mwaka wa 2030 kwa mabunge ya kaunti kabla ya mkutano mwingine wa kitaifa kuandaliwa kujadili zaidi pendekezo hilo.