Juhudi za kuhakikisha vijana nchini wanashiriki katika maswala ya utawala,zimepigwa jeki kufuatia kuzinduliwa rasmi kwa vugu vugu la kuwahusisha na kuhamasisha vijana katika maswala ya utawala.Hayo yanajiri baada ya mashirika husika kutia saini makubaliano ya maelewano ,hatua inayotoa fursa ya kuwashirikisha vijana katika maswala ya uongozi,demokrasia na mchakato wa uchaguzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive