Skip to main content
Skip to main content

Ulinzi kuimrishwa Dar huku mji ukiwa umetulia

  • | BBC Swahili
    34,495 views
    Duration: 42s
    Hali ya ulinzi imeonekana kuimarishwa zaidi katika jiji kuu la kibiashara la Tanzania, Dar es Salaam, huku mamia ya maafisa polisi na jeshi wakionekana kutanda katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo. #bbcswahili #ulinzi #Maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw