Skip to main content
Skip to main content

Juhudi za kuimarisha biashara mpakani Taveta Holili

  • | Citizen TV
    297 views
    Duration: 1:32
    Serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali za kaunti zinazopakana na nchi jirani ya Tanzania ziko katika harakati za kuweka mikakati ya kuimarisha biashara katika maeneo hayo. Katibu katika wizara ya afrika mashariki Caroline Karugu anasema mwaka jana mpaka wa Taveta Holili uliiletea taifa hili shilingi milioni 383 ambazo ni kidogo ikilinganishwa na mpaka wa Kwale-Horohoro na ule wa Namanga. Aidha wito ukitolewa kwa mataifa haya mawili kuondoa vikwazo vya kibishara na pia kukuza ushirikiano wa karibu