- 171 viewsDuration: 2:13Kama njia moja ya kuhakikisha visa vya mimba za utotoni vinadhibitiwa hasa miongoni mwa wanafunzi, serikali ya Kaunti ya Bungoma imeanzisha vikao na walimu wakuu wa shule za upili ili kufanikisha uhamasisho kuhusu athari za mimba hizo kwa mwanafunzi.