2 Apr 2026 1:41 pm | Citizen TV 420 views Duration: 3:02 Juhudi za kuwawezesha wanawake kiuchumi katika Kaunti ya Kajiado zimeimarishwa, huku wadau mbalimbali wakishirikiana kuondoa vikwazo vya kitamaduni na kielimu vinavyowazuia wanawake kushiriki kikamilifu katika biashara