Skip to main content
Skip to main content

Juhudi za uhifadhi wa wanyamapori Amboseli zazaa matunda

  • | Citizen TV
    160 views
    Duration: 1:05
    Juhudi za kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori katika eneo pana la Amboseli, Kaunti ya Kajiado, zinaendelea kuzaa matunda, huku ripoti mpya ya uhifadhi ikionyesha kuwa idadi ya maeneo ya uhifadhi wa kijamii imeongezeka kutoka 19 miaka mitano iliyopita hadi 42 kwa sasa. Robert Masai ana maelezo zaidi kutoka Amboseli.