17 Jun 2026 10:20 am | Citizen TV 167 views Duration: 2:01 Sherehe za kuadhimisha siku ya mtoto wa Africa katika eneo bunge la Narok Kusini zafanyika shuleni Enkare Nairouwa ambapo zasheheni ujumbe wa kumlinda mtoto wa kike.