Skip to main content
Skip to main content

Junior Starlets waongoza kundi A, sasa kukutana na Uganda nusu fainali

  • | Citizen TV
    719 views
    Duration: 1:00
    Kenya U17 Women’s National Team wametoka sare na wenyeji Tanzania Women’s National Football Team na kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi A la michuano ya CECAFA. Kenya sasa itakutana na Uganda Women’s National Football Team katika nusu fainali huku Tanzania ikivaana na South Sudan Women’s National Football Team.