Skip to main content
Skip to main content

Junior Starlets yakamilisha maandalizi Pretoria

  • | Citizen TV
    190 views
    Duration: 1:03
    Timu ya taifa ya kandanda ya wasichana walio na chini ya miaka 17, Junior Starlets, imefanya mazoezi yake ya mwisho leo katika Uwanja wa Lucas Moripe jijini Pretoria, Afrika Kusini, kuelekea kwenye mchuano dhidi ya wenyeji, Bantwana wa Afrika Kusini.