- 2,466 viewsDuration: 5:24Zaidi ya mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Kasisi Allois Bett na majangili katika Bonde la Kerio, familia yake bado inalia haki. Wakati huo huo, majangili 16 wanaodaiwa kuacha shughuli za uhalifu wanasema wameachana na uvamizi, huku amani ikiripotiwa kurejea katika baadhi ya maeneo ya Bonde la Kerio.