- 5,194 viewsDuration: 2:28Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameendelea kukana madai kwamba ataungana na rais William Ruto katikauchaguzi mkuu ujao. Kiongozi huyo wa upinzani aliyekuwa huko Kjiado pia ameonya tume ya uchaguzi IEBC dhidi ya kutumiwa na bunge na serikali kuingilia usimamizi wa uchaguzi mkuu.