Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo amshutumu Ruto kwa misimamo kuhusu Tata na wafanyabiashara

  • | Citizen TV
    3,903 views
    Duration: 3:00
    Viongozi wa upinzani wamemshutumu Rais William Ruto kwa misimamo yake mikali dhidi ya kampuni ya madini ya Tata huko Magadi, pamoja na agizo la kuwazuia wafanyabiashara wadogo wa kigeni kuendelea kufanya biashara nchini. Akiongoza kikao cha Azimio la Umoja One Kenya, kinara wake Kalonzo Musyoka amesema Rais Ruto amekuwa akicheza karata mbaya na maisha ya Wakenya.