Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo ataka taratibu zifuatwe kabla ya mradi wa Dangote

  • | Citizen TV
    1,628 views
    Duration: 2:39
    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ametaka utaratibu unaofaa kufuatiliwa kabla ya kuanzishwa kwa ujenzi wa kiwanda cha kusafishia mafuta cha Dangote kilichozinduliwa kaunti ya lamu. Kalonzo aliyepongeza ujenzi wa Kiwanda hicho hata hivyo amemsuta Rais William Ruto kwa kutumia kifua kusukuma mradi huo, akimshutumu kwa kutozingatia lalama za wakazi na kupuuza sheria. Kalozno pia amepuuzilia mbali madai kuwa ananuia kuusaliti upinzani na kushirikiana na serikali, kwenye kinyang’anyiro cha mwaka 2027.