- 2,727 viewsDuration: 1:44Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya kitui wametoa wamemtetea kinara wa wiper kalonzo musyoka kufuatia matamshi ya punde zaidi ya rais william ruto kuwa hakufanya maendeleo yoyote maeneo ya ukambani. Wanasiasa hawa pia wakimpigia debe kalonzo kwa kiti cha urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 wakisema ajeenda kuu ya upinzani ni kumtimua rais ruto.