Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo: Sitafanya kazi na Ruto

  • | Citizen TV
    10,683 views
    Duration: 2:53
    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amekanusha madai kuwa ananuia kufanya kazi na Rais William Ruto katika uchaguzi wa mwaka ujao, akisisitiza kuwa kamwe hataondoka katika upinzzani. Akizungumza baada ya kukutana na viongozi wa Linda Mwananchi, Kalonzo amepuuza madai ya kukutana na Rais Ruto, akiyataja kuwa porojo zinazoenezwa na watu wenye hofu ya kuondolewa mamlakani katika uchaguzi wa mwaka ujao. Gatete Njoroge ana taarifa hiyo.