Skip to main content
Skip to main content

Kaluma matatani kwa matamshi ya uchochezi dhidi ya mikutano ya Linda Mwananchi Homa Bay

  • | Citizen TV
    12,017 views
    Duration: 1:39
    Na haya yanapojiri, leo hii tunaangazia matamshi ya punde ya Mbunge wa Homa Bay Town Peter Kaluma aliyeonya mrengo wa Linda Mwananchi uliokuwa ukizuru Kaunti ya Homa Bay kwa mikutano ya kisiasa. Kwenye kanda hii ya video iliyo kwa lugha ya Kiluo, Kaluma amesema wale wasiounga mkono serikali wakabiliwe na haswa kuelekeza maneno makali kuhusu mikutano ya Linda Mwananchi.