- 9,328 viewsDuration: 1:19Shughuli za biashara na masomo zinaendelea katika eneo la mandera licha ya tetesi kuhusu kuwepo kwa majeshi ya jubaland au la eneo hilo. Mwanahabari wetu ben kirui amerejea kutoka mandera ambako alizungumza na wakazi pamoja na viongozi wa eneo hilo kuhusu hali ilivyo eneo hilo.