Skip to main content
Skip to main content

Kamanda wa Polisi Meru aonya dhidi ya uhalifu wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    2,573 views
    Duration: 46s
    Kamanda wa Polisi wa kaunti ya Meru, Moses Mutesya, amewaonya watakaoshiriki maandamano yaliyopangwa kufanyika kesho dhidi ya kujihusisha na vitendo vya uhalifu au kuvuruga amani. Amesema vyombo vya usalama viko macho kuhakikisha sheria inafuatwa na kutoa tahadhari kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakayepatikana akichochea au kushiriki katika vitendo vinavyohatarisha usalama wa umma.