28 Aug 2026 10:39 am | Citizen TV 479 views Duration: 1:42 Kamati teule ya bunge kuhusu mfuko wa kitaifa wa maendeleo ya maeneo bunge, NG-CDF, yafanya ziara katika eneo bunge la Tarbaj, Kaunti ya Wajir, kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hususan katika sekta ya elimu.