Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge yataka uchunguzi wa matumizi ya fedha TVET

  • | KBC Video
    122 views
    Duration: 2:58
    Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu uhasibu wa umma, inataka kuwe na ukaguzi maalum wa matumizi ya fedha katika idara ya mafunzo ya kiufundi . Wabunge hao wamesema kuwa fedha zilizonuiwa kuwafaidi wanafunzi kupitia misaada ya masomo, zilielekezwa kwa watu ambao hawakutajwa , taasisi, pamoja na vyuo vya kibinafsi. Mwanahabari wetu, Abdiaziz Hashim, na maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive