Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya fidia yahakikishia waathiriwa malipo na haki

  • | Citizen TV
    305 views
    Duration: 3:20
    Kamati ya kuwafidia waathiriwa wa maandamano imewahakikishia waathiriwa kuwa kila atakayethibitishwa kudhulumiwa atapata fidia. Kamati hiyo imewarai wale ambao bado hawajafikiwa kuwa na subira, ikieleza kuwa kiwango cha malipo kitategemea aina ya dhulma na majeraha ya kila mwathiriwa kulingana na ushauri wa madaktari. Akiangazia mchakato huo, mwenyekiti wa kamati hiyo Profesa Makau Mutua amesisitiza kuwa utoaji wa fidia hautasitisha jitihada za kutafuta haki kwa waathiriwa pamoja na kuwawajibisha waliohusika. Gatete Njoroge ana taarifa zaidi.