Skip to main content
Skip to main content

Kamati yaanza mchakato wa fidia kwa waathiriwa wa ukiukaji wa haki za binadamu

  • | Citizen TV
    350 views
    Duration: 2:09
    Kamati ya wataalamu wanaoshughulikia fidia kwa waathiriwa wa ukiukaji wa haki za kibinadamu, wakiwemo waliouawa au kudhulumiwa kwenye maandamano, imeratibu taratibu za utoaji wa fidia na wanaotarajiwa kunufaika kufuatia mwongozo uliotolewa na Kenya National Commission on Human Rights.