Skip to main content
Skip to main content

Kamati yakagua miradi ya serikali katika Kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    2,609 views
    Duration: 1:45
    Kamati ya ukaguzi wa miradi ya serikali imezuru Kaunti ya Migori kukagua maendeleo ya miradi mbalimbali. Miongoni mwa miradi inayotekelezwa ni ya masoko, mabwawa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu.