Skip to main content
Skip to main content

Kamishna wa kaunti ya Isiolo aagiza kuhamishwa kwa polisi katika Kituo cha Polisi cha Isiolo Central

  • | Citizen TV
    5,709 views
    Duration: 1:58
    Kamishna wa Kaunti ya Isiolo, Chaunga Mwachaunga, aagiza kuhamishwa kwa maafisa wote wa Polisi katika Kituo cha Polisi cha Isiolo Central, awalaumu kwa kushindwa kudhibiti ongezeko la uhalifu na kuhakikisha usalama wa wakazi pamoja na mali yao.