Skip to main content
Skip to main content

Kamishna wa Kaunti ya Murang’a, Hassan Bule awaonya wapangao uhalifu

  • | Citizen TV
    454 views
    Duration: 1:52
    Kamishna wa Kaunti ya Murang’a, Hassan Bule, awataka wakazi wanaotarajia kushiriki maandamano ya kudumisha amani na kutenda kulingana na sheria ya nchi. Akizungumza akiwa katika mji wa Murang'a, Bule awahakikishia raia kuwa vyombo vya usalama vyajiandaa kikamilifu kudumisha amani na utangamano pamoja na kukabiliana na wahalifu.