23 Jul 2026 10:17 am | Citizen TV 686 views Duration: 1:10 Kamishna wa Kaunti ya Narok Kipkech Lotiatia apiga marufuku kwa muda usio julikana shughuli za uchimbaji dhahabu eneo la Kilima Pesa Lolgorian,Transmara Kusini hasa kwa milango minne mikuu.