18 Aug 2026 10:14 am | Citizen TV 259 views Duration: 2:02 Kampeni ya kuhamasisha vijana haswa wa kike dhidi ya vitisho vitatu vya kiafya yazinduliwa mjini Malindi kaunti ya kilifi, huku kampeni hiyo ikilenga kuwapa watoto wa kike ujumbe kamili katika vituo vya afya.