Skip to main content
Skip to main content

Kampeni ya uhifadhi wa mazingira yaimarishwa Kajiado Kusini

  • | Citizen TV
    491 views
    Duration: 4:02
    Amboseli Ecosystem Trust imeongoza kampeni ya uhamasishaji kuhusu uhifadhi wa mazingira katika masoko ya Kajiado Kusini. Wakazi wameelimishwa kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira, huku wakifundishwa mbinu bora za ufugaji na usimamizi wa malisho ili kukabiliana na changamoto za mazingira.