- 466 viewsDuration: 3:57Amboseli Ecosystem Trust imeongoza kampeni ya uhamasishaji kuhusu uhifadhi wa mazingira katika masoko ya Kajiado Kusini. Wakazi wameelimishwa kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira, huku wakifundishwa mbinu bora za ufugaji na usimamizi wa malisho ili kukabiliana na changamoto za mazingira.