- 3,737 viewsDuration: 6:58ni siku ya mwisho ya kampeni za eneobunge la Ol kalou kaunti ya Nyandarua. kampeni za eneo hilo zimekuwa na vurugu nyingi huku tume ya IEBC ikitishia kuahirisha uchaguzi huo mdogo utakaofanyika Alhamisi. Evans Asiba anaungana nasi mubashara kutoka Ol Kalou kutujulisha yanayojiri kwa sasa katika kampeni za lala salama