Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya M-Ajira yaandaa hafla ya kuwasajili madereva kwa kazi Saudi Arabia

  • | Citizen TV
    976 views
    Duration: 13:47
    Zaidi ya madereva 500 wa malori wanatarajiwa kupata fursa za ajira nchini Saudi Arabia, kufuatia hatua ya kampuni ya M-Ajira kuandaa zoezi la usajili katika uwanja wa chuo kikuu cha Kenyatta. Wakenya wengi wamejitokeza kushiriki zoezi hilo la siku tatu. Kampuni ya M-Ajira imeshirikiana na waajiri kutoka ukanda wa Ghuba kutoa nafasi mbalimbali za ajira.