- 512 viewsDuration: 7:55Kampuni ya M-ajira yawasajili madereva wa malori makubwa jijini Mombasa kwa nafasi za ajira nchini Saudi Arabia . Maafisa wa M-ajira kwa ushirikiano na SMASCO kutoka Saudi Arabia yaendesha shughuli hiyo kwa siku ya pili leo katika uwanja wa Tononoka. Zoezi hili linalenga kuwasajili madereva 500 watakaopata fursa za ajira katika taifa hilo la Ghuba.