Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya sare mpya za polisi yatiliwa shaka

  • | KTN News
    7,624 views
    Duration: 3:18
    Kampuni inayosemekana kupewa kandarasi ya kushona sare mpya za polisi, ambazo zimezinduliwa rasmi hii leo na Rais katika hafla ya kufuzu kwa maafisa wa polisi, inasemekana kuwa na anwani sawa na kampuni nyingine zinazodaiwa kumilikiwa na familia ya Rais. KTN imeweza kubaini kwamba kampuni hiyo, kwa jina Nalitex Limited, ambayo inasemekana kuwa na afisi katika jengo la Hafadhi House, kulingana na Huduma ya Usajili wa Biashara, haina afisi zozote katika jengo hilo. Na kama anavyoarifu Gloria Milimu, anwani hiyo pia, kando na kuwa na usajili sawa na kampuni ya ukaguzi wa hesabu, ni sawa na ile ya majumba ya kifahari kwa jina Urban Grove Apartments, ambayo pia inadaiwa kumilikiwa na familia hiyo. Follow the KTN News channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Va5mI2g5Ui2go7I2JN3C Read The Standard e-Paper now! - https://epaper.standardmedia.co.ke/ SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL https://www.youtube.com/user/standardgroupkenya?sub_confirmation=1 ╔═╦╗╔╦╗╔═╦═╦╦╦╦╗╔═╗ ║╚╣║║║╚╣╚╣╔╣╔╣║╚╣═╣ ╠╗║╚╝║║╠╗║╚╣║║║║║═╣ ╚═╩══╩═╩═╩═╩╝╚╩═╩═╝ For any questions or inquiries regarding this video, please reach out to newsdesk@standardmedia.co.ke Get the latest and Breaking news https://www.standardmedia.co.ke ---------------------------------------------------------------- follow us on all of these • Facebook - / KTNNewsKenya • Twitter - / KTNnewske • Instagram - / ktnnews • TikTok - / ktnnewske --------------------------------------------------------------------