Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Weego asilimia 20 kwa nauli kwa wanaohudhuria sherehe ya Fred Obachi Machoka

  • | Citizen TV
    3,644 views
    Duration: 1:15
    Kampuni ya usafiri wa mtandaoni weego imetangaza kupunguzwa kwa nauli kwa asilimia 20 kwa wakenya watakaohudhuria sherehe ya kiadhimisha miaka 50 ya utangazaji ya nahodha wa kipindi cha roga roga kwenye radio na runinga ya citizen, uncle fred obachi machoka, katika uwanja wa ulinzi sports grounds nairobi, kesho.