Skip to main content
Skip to main content

Kampuni za maji zalalamikia Serikali kutokana na gharama kubwa ya umeme

  • | Citizen TV
    376 views
    Duration: 2:04
    Serikali yahimizwa kupunguza gharama za umeme za kampuni za maji.Wadau wa sekta ya maji wadai kuwa gharama hizo za umeme ni za juu mno, jambo linalowalazimu kuelekeza mzigo huo kwa wateja wao.