Skip to main content
Skip to main content

Karaba akumbukwa kama kiongozi shupavu Kirinyaga

  • | Citizen TV
    447 views
    Duration: 2:43
    Aliyekuwa seneta wa Kirinyaga, marehemu Daniel Karaba, amekumbukwa kama mfano bora katika utendaji wake kama mwalimu na kiongozi wa kaunti ya Kirinyaga. Katika hafla ya mazishi iliyowaleta pamoja viongozi, akiwa mmojawapo Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, Karaba alitajwa kama kiongozi aliye simamia ukweli na kuwasaidia wote waliotafuta usaidizi wake.