- 4,179 viewsDuration: 4:27Halmashauri ya usalama barabarani imeorodhesha zaidi ya maeneo 200 yaliyo hatari zaidi barabarani. Miongoni mwao ni maeneo kadhaa ya barabara ya Nairobi - Nakuru ambayo yameendelea kushuhudia ajali. Eneo la Karai, Naivasha ni mojawapo na katika siku chache zilizopita, watu 9 wameaga dunia.