Skip to main content
Skip to main content

Karani wa mahakama mahakama ya Busia anaswa baada ya kupokea hongo ya Shilingi 180,000

  • | Citizen TV
    2,774 views
    Duration: 1:13
    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi yamkamata karani wa mahakama ya Busia kwa madai ya kuitisha na kupokea hongo ya Shilingi 180,000 za ili kushawishi matokeo ya kesi ya jinai iliyokuwa mbele ya mahakama.